Bahati mbaya sana Yuda alijinyonga haraka:
Lakini kama Yuda angelifanya Press ya kujitetea mbele ya wanafunzi wa Yesu baada ya Shutuma za usaliti angesema hivi;
a). Alisahau kufanya press
b). Hakuitumia Press kuomba MSAMAHA
USHAURI
Kama kuna mpambanaji Kachemka BARAZA LA VIJANA NA BARAZA LA WAZEE Muiteni Mkumbusheni Mambo hayo mawili!
A). AKUBALI ALIFANYA MAKOSA KUFANYA STRATEGIC ENGAGEMENT na watu ambao waliwaumiza bila idhini ya uongozi
B). AOMBE MSAMAHA atangaze kuwa hakuwa na nia mbaya LAKINI Tatizo ni NJIA ALIYOITUMIA Ndiyo MBAYA YA KUJIAMULIA MAMBO.
Baraza la vijana na wazee Mwambieni jamaa zama zimebadilika, NJIA ZA KALE ZAMA ZA MBOWE ASIZITUMIE KWA SASA!
Alichokifanya hakina tofauti sana na utetezi wa MBOWE ALIPOMPOKEA LOWASSA na kumsafisha!
Ndiyo maana PRESS YA JAMAA INA MWANGWI WA MBOWE kwa namna Shutuma Binafsi anakusanya wengine IONEKANE KUNDI KUBWA NA KUTISHA VIJANA WENGINE.
KUKOSEA KUPO JAMAA KACHEMKA ACHUTAME AOMBE MSAMAHA, Kwa kufanya Strategic engagement!
Maana watu watamuuliza?
1. Ulikuwa unakutana nao wapi ili kufanya strategic hizo
2. Je wao ni wajinga kiasi gani ufanye strategic kwa simu wakitambua wazi wewe ni mpinzani usije kuwarekodi?
3. Alitumwa na nani kufanya strategic binafsi bila maelekezo ya chama?
4. Walikutana wapi na nani alilipia hizo gharama za vikao vya kufanya strategic
5. Kwani yeye ana mgogoro wowote wa kimaslahi ambao ulizalisha chuki hadi atajwe yeye tu kuwa ni msaliti?
6. Kwanini analaumu wanachama hawajitoi kupigania nchi yao kama viongozi kwani waliokufa octoba 29 walikuwa wanapigania nini na walikuwa wafuasi wa nani?
AOMBE MSAMAHA KATELEZA ILA CHAMA KINATAMBUA KAZI KUBWA NA MCHANGO WAKE, Bavicha na wazee kazi kwenu

- Kuna maneno mmesikia eti mimi nimesaliti kambi ya YESU, Puuzeni
- Mimi Yuda Kamwe siwezi kufanya hivyo, Nilichokifanya Haikuwa usaliti bali ni STRATEGIC ENGAGEMENT na hawa baraza la wazee na makuhani.
- Kumbukeni nimekuwa na ninyi miaka yote nabeba kapu la sadaka, kama ningetaka kuwasaliti si ningekimbia na kapu la fedha?
- Kumbukeni hata siku Yesu anatuosha miguu mimi alinipatia mkate kama Rafiki yake siwezi thubutu kufanya usaliti over my dead body
- NAFAHAMU YESU Hana HATIA hivyo nilifanya STRATEGIC ENGAGEMENT nikijua fika kabisa Yesu atawachoropoka na kupita katikati yao na kwenda zake
- Vile VIPANDE 30 ilikuwa ni kitu kidogo kama mindgame ili wale viongozi waone nataka MARIDHIANO nao, lakini nilipoona WAMEMFUNGA KWELI niliwarudishia vipande vyao maana HAIKUWA LENGO LANGU Bali Strategic engagement
- Bila mimi KUBEBA Kapu la sadaka HATA PETRO na YOHANA Msingekuwa viongozi wetu, mbona hata PETRO Alimkana Yesu HAMKUSEMA NI USALITI?
- Nawashangaa sana mnaosema mie naweza kumsaliti BWANA WETU, Kama tulitumwa kuzunguka nchi nzima na vikao huko galilaya tukitoa pepo na PEPO WALITII Wanawezaje kumtii MSALITI kama mimi ni MSALAITI KWELI?
- ...ongezea yako