Yuko wapi Adam Mchomvu?

Yuko wapi Adam Mchomvu?

Halafu hii tabia ya mtu kupigwa na mwanaume mwenzio hii imekaaje, unashindwa kuokota hata mawe,

1.Mbasha alipigwa mtama na huyu jamaa

2.Q chief naye ..........

Hawa wanaopigwa wapunguze uboya

Haha sometimes anae kupiga is physicaly superior na wana tactical advantage so unakuwa mdogo tu. Kama angepiga mawe kesi angefungua wapi?

Wengine wanakutega uwapige wakubane kwenye kesi
 
Back
Top Bottom