Yuko wapi Alekuwa Akiendesha Vipindi vya Watoto ITV miaka ya 90?

Yuko wapi Alekuwa Akiendesha Vipindi vya Watoto ITV miaka ya 90?

Dogo yuko nbc headquarter, ch3dk kipindi cha mkasi kaelezea jndani wake season mbili zilizopita
 
Angalia hapo!

[video=youtube_share;EGOiQCIqkJQ]http://youtu.be/EGOiQCIqkJQ[/video]
 
Edd anafanya kazi NBC ila yuko Uganda muda kidogo ss aliesema kamwona majuzi yake ndo kanishangaza


Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
ata me nilikua napenda sana kumfuatilia. ila aliniboa sana kwenye interview yake kwenye mkasi alikua anachanganya kiswahili na kiingereza, aliniudhi sana kwani watu kama hao huwa nawachukilia kama wachamba tu.
 
Nyie wote hamjui huyu ed alivyokuwa ndio alikuwa kanumba ameshafariki, mnatutia majonzi tuu tuache hizi habari.
 
Back
Top Bottom