Yuko wapi aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Manyoni Magharibi Mkoani Singida 2005-2015, John Paul Lwanji?

Yuko wapi aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Manyoni Magharibi Mkoani Singida 2005-2015, John Paul Lwanji?

mazaga one

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
2,514
Reaction score
4,042
Habari Wana JF naombeni msaada wa yeyote anayefahamu huyo mzee Aliyekuwa Mbunge wa Manyoni Magharibi Mkoa Wa Singida.

Sijamsikia muda mrefu kwenye ulingo wa kisiasa na Je Bado Mbunge? mwaka huu aligombea Tena Kura za Maoni?

Nakumbuka tu hoja zake Bungeni na na Kusambaratisha Upinzani Jimboni kwake na Pia kusaidia Kuanzishwa kwa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi na Juzi juzi nimesikia Wapo kwenye Majengo Mapya Ya Hiyo Halmashauri.

Naombeni Mwenye Taarifa zake huyo mzee Tafadhari.

Nawasilisha,
Asanteni!

Mrejesho!!!

Asanteni Sana Kwa Mlioonyesha Ushirikiano wenu,Tayari nimepata na nimepata taarifa zake.Aligombea Ubunge Jimbo la Manyoni Magharibi Mwaka huu Kupitia CCM na Akawa Kwenye Tano Bora. Anasuburi Maamuzi ya Kutoka Juu.

Asanteni Sana Kwa Mliokuja PM na Kunieleza Haya. Nikiwa na ziara ya Singida Nitakwenda Kumuona ni mzee ambaye alishiriki kwa kiasi kikubwa kufanikisha Kuanzishwa kwa Halmashauri Mpya ya Wilaya ya Itigi Iliyopo Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida Akiwa Kama Mbunge wa Manyoni Magharibi. Ni mzee Mwenye Madini Sana Kichwani .

Asanteni wana JF.
 
Back
Top Bottom