Yuko wapi Anti Lulu?

Yuko wapi Anti Lulu?

Panzi Mbishi

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2021
Posts
2,231
Reaction score
2,904
Wakuu Salaam,

Nisiwapotezee muda, miaka ya nyuma kulikuwa na shindano la wadada lililodhaminiwa na Twanga Pepeta na Manywele Entertainment.

Sikumbuki lilifanyika mara ngapi lakini mwaka 2006 kuna dada alifahamika kama Anti Lulu ndiye aliibuka kidedea wa taji la Kimwana Manywele wa Twanga akakabidhiwa zawadi ya gari.

Yuko wapi? Kale kaumaarufu kalimsaidia chochote? Ana hali gani kwa sasa?

Nawasilisha.
 
Unatafuta mtu bila picha utachoka sna mkuu.
Na kwa hizi Tumeric oili wanapaka wadada wa mjini wao wanasema ku glow ni ngumu kumpata asee...
Ashakuwa zake mzungu saivi
 
Wakuu Salaam,

Nisiwapotezee muda, miaka ya nyuma kulikuwa na shindano la wadada lililodhaminiwa na Twanga Pepeta na Manywele Entertainment.

Sikumbuki lilifanyika mara ngapi lakini mwaka 2006 kuna dada alifahamika kama Anti Lulu ndiye aliibuka kidedea wa taji la Kimwana Manywele wa Twanga akakabidhiwa zawadi ya gari.

Yuko wapi? Kale kaumaarufu kalimsaidia chochote? Ana hali gani kwa sasa?

Nawasilisha.

Last time 2022 alikua anaumwa sana akapelekwa dodoma kwa mama yake ndogo kwa madai ya kurogwa.. sijui alipona au laa..
 
Back
Top Bottom