Yuko wapi Askofu wa makanisa ya GCTC - Ufufuo na Uzima Dr Josephat Gwajima?

Yuko wapi Askofu wa makanisa ya GCTC - Ufufuo na Uzima Dr Josephat Gwajima?

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,249
Reaction score
11,592

View: https://youtu.be/VucOADP1loY?si=f0xgGxMinKLYLnbZ
Mnajua yuko wapi huyu Jesusi wa mbinguni, Askofu Josephat Gwajima?

Mnakumbuka aliyowahi kusema huko nyuma kuhusu Tanzania na mwisho wa CCM?

Sikilizeni...

Vita ya kuikomboa Tanganyika inapiganwa katika maeneo mawili;

1. Mwilini (Physical realm war) e.g vinavyopiganwa na CHADEMA na Tundu Lissu na wanaharakati wa haki za binadamu, demokrasia na ustawi wa watu

2. Rohoni (Spiritual realm war) huwezi kuwaona wapiganaji wa vita ya aina hii unless ametangaza rasmi. Askofu Josephat Gwajima alitangaza rasmi kwa kusema "atahakikisha utekaji na mauaji na kuonea watu kunakoma na Tanzania mpya inazaliwa!!!"

Mnafikiri ubaya huu ungekomeshwaji?

Kila eneo la vita lina principles, strategies na silaha zake tofauti kabisa za kutumia kupigania

Vita vya rohoni --- Silaha zake ni Neno la Mungu (upanga wa roho), imani, wokovu nk kwa njia ya maombi ya kufunga na kuomba

Vita ya Kimwili --- Silaha zake ni mahakama za kibinadamu, sheria za kibinadamu, peaceful demonstration, migomo nk

Unaweza kuwa umepata jibu sasa Askofu Josephat Gwajima yuko wapi. Jibu ni kuwa YUKO VITANI..!

Unadhani mashetani yatapitia wapi ili kushinda?
 

View: https://youtu.be/VucOADP1loY?si=f0xgGxMinKLYLnbZ
Mnajua yuko wapi huyu Jesusi wa mbinguni, Askofu Josephat Gwajima?

Mnakumbuka aliyowahi kusema huko nyuma kuhusu Tanzania na mwisho wa CCM?

Sikilizeni...

Vita ya kuikomboa Tanganyika inapiganwa katika maeneo mawili;

1. Mwilini (Physical realm war) e.g vinavyopiganwa na CHADEMA na Tundu Lissu na wanaharakati wa haki za binadamu, demokrasia na ustawi wa watu

2. Rohoni (Spiritual realm war) huwezi kuwaona wapiganaji wa vita ya aina hii unless ametangaza rasmi. Askofu Josephat Gwajima alitangaza rasmi kwa kusema "atahakikisha Tanzania utekaji na mauaji yanakoma na Tanzania mpya inazaliwa!!!

Kila eneo la vita lina principles, strategies na silaha tofauti kabisa za kutumia kupigania

Unaweza kuwa umepata jibu sasa Askofu Josephat Gwajima yuko wapi. Jibu ni kuwa YUKO VITANI..!

Unadhani mashetani yatapitia wapi ili kushinda?

ok. :1Head:
 
Kumbe ni Jasusi la mbinguni pengine kaenda kupeleka taarifa kwa Boss wake🫎🫎
 
Back
Top Bottom