View: https://youtu.be/VucOADP1loY?si=f0xgGxMinKLYLnbZMnajua yuko wapi huyu Jesusi wa mbinguni, Askofu Josephat Gwajima?
Mnakumbuka aliyowahi kusema huko nyuma kuhusu Tanzania na mwisho wa CCM?
Sikilizeni...
Vita ya kuikomboa Tanganyika inapiganwa katika maeneo mawili;
1. Mwilini (Physical realm war) e.g vinavyopiganwa na CHADEMA na Tundu Lissu na wanaharakati wa haki za binadamu, demokrasia na ustawi wa watu
2. Rohoni (Spiritual realm war) huwezi kuwaona wapiganaji wa vita ya aina hii unless ametangaza rasmi. Askofu Josephat Gwajima alitangaza rasmi kwa kusema "atahakikisha Tanzania utekaji na mauaji yanakoma na Tanzania mpya inazaliwa!!!
Kila eneo la vita lina principles, strategies na silaha tofauti kabisa za kutumia kupigania
Unaweza kuwa umepata jibu sasa Askofu Josephat Gwajima yuko wapi. Jibu ni kuwa YUKO VITANI..!
Unadhani mashetani yatapitia wapi ili kushinda?