Vocal Fremitus
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 1,287
- 6,648
Bweri ya wapi? Musoma? Hakuaga iringa yuleAnahaha na maisha uko kwao bweri
Aisee [emoji26][emoji26]Mtu akifa, kivuli chake nacho hupotea.
Akipambana ataweza. Tatizo jinsia sasa [emoji38][emoji38][emoji38]Anatafuta jinsi ya kubadilika afanane na mama ili atrend tena.
Ina maana ameshindwa hata kujiattach kivingine ktk awamu hii?Amekuwa na akili siku hizi. Ule ujinga ameacha.
Wenzake kina Nape na team yake wametune na Mama faster,hata yeye akipata fm ya Mama ata tuned Kama wao na ataanza kulamba Asali Tena!!Anatafuta jinsi ya kubadilika afanane na mama ili atrend tena.
Oh kama hivyo basi sawaNi mwenezi wa chama mkoa wa Geita kama sikosei
Kuna kijana mmoja aitwae Baraka, alitrend sana na kuvuta hisia za watu wengi kipindi kile cha awamu ya tano kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuigiza sauti ya Rais Magufuli.
Alijizolea umaarufu nchi nzima kwa zile tambo mpaka Rais wakati ule alimtambua. Kuna mpaka mkutano wake mmoja kule Iringa Rais alimsimamisha na kupiga nae picha. Siku hizi hatumsikii tena. Anafanya mishe gani? Vipi wazee wa kuvumbua vipaji na wasanii wameshindwa hata kumpa shavu huyu kijana?
Kwa hiyo atakua Baraka Suluhu sio Magufuli tena?Anatafuta jinsi ya kubadilika afanane na mama ili atrend