Vocal Fremitus
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 1,287
- 6,648
Kuna kijana mmoja aitwae Baraka, alitrend sana na kuvuta hisia za watu wengi kipindi kile cha awamu ya tano kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuigiza sauti ya Rais Magufuli.
Alijizolea umaarufu nchi nzima kwa zile tambo mpaka Rais wakati ule alimtambua. Kuna mpaka mkutano wake mmoja kule Iringa Rais alimsimamisha na kupiga nae picha. Siku hizi hatumsikii tena. Anafanya mishe gani? Vipi wazee wa kuvumbua vipaji na wasanii wameshindwa hata kumpa shavu huyu kijana?