Bashungwa akiwa waziri wa mambo ya ndani alijaa kiburi cha kupitiliza na dharau sana huyu mtu yuko wapi? Je yaliyotokea October 29 ndo yanaenda kumzika kisiasa?
Bashungwa alikua anaongea utafikiri ana hati miliki na uwaziri wa mambo ya ndani leo hana cheo ni mbunge kama wabunge wengine na amejaa damu za watu
Hata kuongea kwake ni shida yule jamaa sijui siasa imeiwezaje?Alikua na kiburi sio poa
Siasa sio maneno Tu kuna connection piaHata kuongea kwake ni shida yule jamaa sijui siasa imeiwezaje?
Atarudi Tu madaraka ni kupokezanaYupo benchi
Huyu alikuwa mhaya au msukuma? Manake ndivyo walivyo hawa washamba.Bashungwa akiwa waziri wa mambo ya ndani alijaa kiburi cha kupitiliza na dharau sana huyu mtu yuko wapi? Je yaliyotokea October 29 ndo yanaenda kumzika kisiasa?
Bashungwa alikua anaongea utafikiri ana hati miliki na uwaziri wa mambo ya ndani leo hana cheo ni mbunge kama wabunge wengine na amejaa damu za watu
Juzi tulikuwa naye Royal Village Dodoma, akawa anakunywa akisema WEKA WITHOUT WATERBashungwa akiwa waziri wa mambo ya ndani alijaa kiburi cha kupitiliza na dharau sana huyu mtu yuko wapi? Je yaliyotokea October 29 ndo yanaenda kumzika kisiasa?
Bashungwa alikua anaongea utafikiri ana hati miliki na uwaziri wa mambo ya ndani leo hana cheo ni mbunge kama wabunge wengine na amejaa damu za watu
Sio kiburi na dharau, alikuwa anatekeleza wajibu wakeBashungwa akiwa waziri wa mambo ya ndani alijaa kiburi cha kupitiliza na dharau sana huyu mtu yuko wapi? Je yaliyotokea October 29 ndo yanaenda kumzika kisiasa?
Bashungwa alikua anaongea utafikiri ana hati miliki na uwaziri wa mambo ya ndani leo hana cheo ni mbunge kama wabunge wengine na amejaa damu za watu
Kama uraia wake niwa mashaka basi hawezi kuwa muhaya. Ni either Mhangaza au Mnyambwa.Mhaya
Huwa najiuliza sana hili swali, anajitafuna-tafuna tuHata kuongea kwake ni shida yule jamaa sijui siasa imeiwezaje?