Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,832
- 77,037
Yule Jamaa Pale Omurushaka Lazima Kuna NammaAlisahau ana uraia wenye mashaka.
Yule Jamaa Pale Omurushaka Lazima Kuna NammaAlisahau ana uraia wenye mashaka.
Mbona alikuwa anaonekana ni mtu humble!Yule mkali alikuwa ni kibri! Sio poa aisee.
Sio muhaya ni muangazaMhaya
Bashungwa akiwa waziri wa mambo ya ndani alijaa kiburi cha kupitiliza na dharau sana huyu mtu yuko wapi? Je yaliyotokea October 29 ndo yanaenda kumzika kisiasa?
Bashungwa alikua anaongea utafikiri ana hati miliki na uwaziri wa mambo ya ndani leo hana cheo ni mbunge kama wabunge wengine na amejaa damu.
ni hulka ya wahaya kujiinua, ni jamii ya hovyo sana
wanyarwanda hao. hujiinua sanaSio muhaya ni muangaza
Namaanisha aliombaje kura jukwaani connection ya kupita jina sawa jukwaani?Siasa sio maneno Tu kuna connection pia
Cv ikoje?Alisahau ana uraia wenye mashaka.
Sio kweliSio muhaya ni muangaza
CV iko vizuri huyo, hana elimu mbalimbali. Lakini haya masuala ya siasa hata kama unaweza kiasi gani kama kuna shida kwenye system, utaonekana hivyohivyo tuCv ikoje?
We wasema!Sio kweli
Hawajui kusoma nyakatii!Huyu Katambi ataondoka kwa aibu kubwa sana kwenye hiyo nafasi Kama Bashungwa
Nilitaka tuu kujua km alisoma hapa hapa bongo au laah. Siasa bwana hata km una A zooote first class lkn mpumbavu mwenye zero anakuenyeaha.CV iko vizuri huyo, hana elimu mbalimbali. Lakini haya masuala ya siasa hata kama unaweza kiasi gani kama kuna shida kwenye system, utaonekana hivyohivyo tu
Kweli unauliza swali hilo ? Kwani lowasa akipataje kura?usisahau ukiwa mgombea wa ccm unapiganiwa kuanzia mtendaji wa kijiji,mtendaji kata,mkurugenzi,mkuu wa wilaya na ocd na polisi zake zoteNamaanisha aliombaje kura jukwaani connection ya kupita jina sawa jukwaani?
Nilitaka tuu kujua km alisoma hapa hapa bongo au laah. Siasa bwana hata km una A zooote first class lkn mpumbavu mwenye zero anakuenyeaha.