Yuko wapi Bashungwa ? Akiwa waziri wa mambo ya ndani alijaa kibri na dharau Madaraka ni koti la kuazima

hulka za wahaya kiju


ni hulka ya wahaya kujiinua, ni jamii ya hovyo sana
 
CV iko vizuri huyo, hana elimu mbalimbali. Lakini haya masuala ya siasa hata kama unaweza kiasi gani kama kuna shida kwenye system, utaonekana hivyohivyo tu
Nilitaka tuu kujua km alisoma hapa hapa bongo au laah. Siasa bwana hata km una A zooote first class lkn mpumbavu mwenye zero anakuenyeaha.
 
Namaanisha aliombaje kura jukwaani connection ya kupita jina sawa jukwaani?
Kweli unauliza swali hilo ? Kwani lowasa akipataje kura?usisahau ukiwa mgombea wa ccm unapiganiwa kuanzia mtendaji wa kijiji,mtendaji kata,mkurugenzi,mkuu wa wilaya na ocd na polisi zake zote
 
Amesoma vyuo vikubwa huko Norway, + USA. Columbia University,

Ana Bachelor of Economics..., na Masters in International affairs
Nilitaka tuu kujua km alisoma hapa hapa bongo au laah. Siasa bwana hata km una A zooote first class lkn mpumbavu mwenye zero anakuenyeaha.
 
Ni suala la muda tu ila atarudi inawezekana amewekwa pembeni kumpunguzia presha ila baada ya presha kupungua na kuisha atarudishwa tena kwa speed zote

Ccm ni chama kinachojua kucheza na akili za wananchi wake that is why iko madarakan kwa miaka70
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…