Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
kuna lile jamaa la midevu lipo rafurafu hivi, sijui lilikua meya la wap nalo sijui liko wap skuiz 🐒Ni swali tu jamani , huyu jamaa alikuwa Meya wa Kinondoni , ni mtoto wa Samuel Sitta aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania .
Baada ya ccm kuangukia pua 2015 , kwenye Halmashauri ya Kinondoni na UKAWA kutwaa madaraka , kukaundwa zengwe ili kuigawanya Halmashauri hiyo huku wakichomekwa wabunge wa ikulu ili kuongeza kura za ccm , na hatimaye mtoto wa Sitta akapachikwa kwenye umeya kwa mbeleko ya chuma , chini ya mtutu wa bunduki .
Vyeo vya kubebwa huwa havina maisha , mbeleko ikichanika ni lazima utachoropoka na kuangukia makalio uvunje kiuno
Sasa sijui leo yuko wapi huyu jamaa yaani ?
Jikite kwenye madakuna lile jamaa la midevu lipo rafurafu hivi, sijui lilikua meya la wap nalo sijui liko wap skuiz 🐒
midevu hakua meya sio 🐒Jikite kwenye mada
Labda kwa kukusaidia Boniface Jackob ndio Meya bora kuwahi kuwepo Kinondoni tangu kuundwa kwa Halmashauri hiyomidevu hakua meya sio 🐒
hoja za kuja na majibu mfukoni bana ni shida sana 🤣
Yes Boniface Jacob huyo ndie 💪👊Labda kwa kukusaidia Boniface Jackob ndio Meya bora kuwahi kuwepo Kinondoni tangu kuundwa kwa Halmashauri hiyo
Sema rafurafu tuu, hilo ni likamanda hata Mulilo analigwaya!kuna lile jamaa la midevu lipo rafurafu hivi, sijui lilikua meya la wap nalo sijui liko wap skuiz [emoji205]
Jamaa huwa siyo muogaSema rafurafu tuu, hilo ni likamanda hata Mulilo analigwaya!
Huyo hapo akiongoza maandamano. Watu sio wa kispot spot bana!
View attachment 2883149
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
🤣🤣 Yes this is the manSema rafurafu tuu, hilo ni likamanda hata Mulilo analigwaya!
Huyo hapo akiongoza maandamano. Watu sio wa kispot spot bana!
View attachment 2883149
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kwa lugha ya aliyekuwa Malkia wa uingereza..Labda kwa kukusaidia Boniface Jackob ndio Meya bora kuwahi kuwepo Kinondoni tangu kuundwa kwa Halmashauri hiyo
Vyeo vya kubebwa huwa havina maisha , mbeleko ikichanika ni lazima utachoropoka na kuangukia makalio uvunje kiuno[emoji419][emoji375][emoji3]Ni swali tu jamani , huyu jamaa alikuwa Meya wa Kinondoni , ni mtoto wa Samuel Sitta aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania .
Baada ya ccm kuangukia pua 2015 , kwenye Halmashauri ya Kinondoni na UKAWA kutwaa madaraka , kukaundwa zengwe ili kuigawanya Halmashauri hiyo huku wakichomekwa wabunge wa ikulu ili kuongeza kura za ccm , na hatimaye mtoto wa Sitta akapachikwa kwenye umeya kwa mbeleko ya chuma , chini ya mtutu wa bunduki .
Vyeo vya kubebwa huwa havina maisha , mbeleko ikichanika ni lazima utachoropoka na kuangukia makalio uvunje kiuno
Sasa sijui leo yuko wapi huyu jamaa yaani ?
Ungemuuliza Mama yake mbona yupo?Ni swali tu jamani , huyu jamaa alikuwa Meya wa Kinondoni , ni mtoto wa Samuel Sitta aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania .
Baada ya ccm kuangukia pua 2015 , kwenye Halmashauri ya Kinondoni na UKAWA kutwaa madaraka , kukaundwa zengwe ili kuigawanya Halmashauri hiyo huku wakichomekwa wabunge wa ikulu ili kuongeza kura za ccm , na hatimaye mtoto wa Sitta akapachikwa kwenye umeya kwa mbeleko ya chuma , chini ya mtutu wa bunduki .
Vyeo vya kubebwa huwa havina maisha , mbeleko ikichanika ni lazima utachoropoka na kuangukia makalio uvunje kiuno
Sasa sijui leo yuko wapi huyu jamaa yaani ?
For sure mjamaa anaweza kua the best kwenye angle tofauti,Kwa lugha ya aliyekuwa Malkia wa uingereza..
BONNY is one of the best MAYORS we had by then.
Ukubali usikubali shauri yako.
Ana mradi wa ufugaji wa kuku kamuunganishe.kuna lile jamaa la midevu lipo rafurafu hivi, sijui lilikua meya la wap nalo sijui liko wap skuiz 🐒
Riwaya yote uliyoitoa hapo juu unaijua vizuri utuulize sisi kuhusu mwenzi wako tuombe radhi unajua alipo!Ni swali tu jamani , huyu jamaa alikuwa Meya wa Kinondoni , ni mtoto wa Samuel Sitta aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania .
Baada ya ccm kuangukia pua 2015 , kwenye Halmashauri ya Kinondoni na UKAWA kutwaa madaraka , kukaundwa zengwe ili kuigawanya Halmashauri hiyo huku wakichomekwa wabunge wa ikulu ili kuongeza kura za ccm , na hatimaye mtoto wa Sitta akapachikwa kwenye umeya kwa mbeleko ya chuma , chini ya mtutu wa bunduki .
Vyeo vya kubebwa huwa havina maisha , mbeleko ikichanika ni lazima utachoropoka na kuangukia makalio uvunje kiuno
Sasa sijui leo yuko wapi huyu jamaa yaani ?
kumbe ni business man mjanja kabisa 👊Ana mradi wa ufugaji wa kuku kamuunganishe.
SwadaktaSema rafurafu tuu, hilo ni likamanda hata Mulilo analigwaya!