Yuko wapi Benjamin Sitta, Meya wa Zamani wa Kinondoni?

Yuko wapi Benjamin Sitta, Meya wa Zamani wa Kinondoni?

"..kukaundwa zengwe ili kuigawanya Halmashauri hiyo"
👆👆

Mwaka 2017, Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ilikuwa na vigezo vyote vya kisheria kugawanywa na kupata Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.

Na mpaka sasa, Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni inaelekea kugawanywa tena.

Hakuna mizengwe! Siyo kila kitu mnaweka siasa.

Mambo mengine ni ya kitaalamu na yapo mbali na upeo wa wenye fikra duni!
 
Hujui kitu wewe nyamaza !
 
For sure mjamaa anaweza kua the best kwenye angle tofauti,
mathalani to me he was the best rough mayor ever in Tz na midevu yake...
Ukatae ukubali shauri yako.....
Mkuu una tatizo na yeye kuwa rough na midevu yake? Kauliziwa Mayor Sitta lakini wewe tangu comment ya kwanza umekazania hapo tu.
 
Ni swali tu jamani , huyu jamaa alikuwa Meya wa Kinondoni , ni mtoto wa Samuel Sitta aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania .

Baada ya ccm kuangukia pua 2015 , kwenye Halmashauri ya Kinondoni na UKAWA kutwaa madaraka , kukaundwa zengwe ili kuigawanya Halmashauri hiyo huku wakichomekwa wabunge wa ikulu ili kuongeza kura za ccm , na hatimaye mtoto wa Sitta akapachikwa kwenye umeya kwa mbeleko ya chuma , chini ya mtutu wa bunduki .

Vyeo vya kubebwa huwa havina maisha , mbeleko ikichanika ni lazima utachoropoka na kuangukia makalio uvunje kiuno

Sasa sijui leo yuko wapi huyu jamaa yaani ?
Ana yard kuuz magari mikocheni.
Mdogo wake aitwaye KAWE ndiye anamtumia mzigo toka USA na UK na yeye anasukuma.
 
Mkuu una tatizo na yeye kuwa rough na midevu yake? Kauliziwa Mayor Sitta lakini wewe tangu comment ya kwanza umekazania hapo tu.
mbaya iko nin mimi kujua midevu aliko na ndicho nilitaka kujua mie Nyamizi

mimi sijui huyo mwingine na mbona amenijibu na hilo nalo una gubu nalo mkuu 🐒
 
Salum Londa Ndiye Meya bora kuwahi kutokea Kinondoni

Huyo muuza Mayai alitupwa porini Kule nako kukamshinda Kinondoni aliingia kimakosa ya kimkakati 🐼
Londa Meya pekee Duniani ambaye alikuwa hajui kusoma na kuandika
 
Back
Top Bottom