Yupo wapi? Mandojo na DomokayaYuko wapi Mc Babu Ayubu
Alikaa sana temeke mikoroshini ilipokwepo maskani ya YAMOTO BAND alipambana sana kurud kwenye Music lakini jitihada ziligonga mwamba sahv amerudi kwao ZanjibarKuna kipindi fulani nilimuona maeneo ya Temeke Mwembeyanga anazurura tu
Mmojawapo Yupo kariakoo anagol la. Viatu vya wadadaYupo wapi? Mandojo na Domokaya
Bila kumsahau Inspector Haroun na Ruteni Karama[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yuko wapi Mc Babu Ayubu
hivi huwa wanaishiwa mistari hawa wasanii au wanajikuta tu hawasikiki
ina maana kaishiwa mpaka sautiHuwa wanagundua muziki haulipi kivile, wanaamua kufanya mambo mengine.
Berry Black kipindi kile Aslay anafanya vizuri ndo alikuwa nguzo yao, walikuwa wanaishi wote kwenye Studio za Shirko pale Mwembeyanga.
Jamaa alishajichokea anaishi maisha ya kitaa kabisa, zile kugongea fegi na mihogo kwa mama muuza fureshiii tu.
ina maana kaishiwa mpaka sauti
niko hapa Forodhani Nafanya biasharaya samaki,,muziki nagusa gusa tu kidogoHabari zenu wanajamvi? Huyu hitmaker wa Nisamehe Yuko wapi siku hizi kapotea Sana kiukweli