Yuko wapi Berry Black?

Yuko wapi Berry Black?

hivi huwa wanaishiwa mistari hawa wasanii au wanajikuta tu hawasikiki

Huwa wanagundua muziki haulipi kivile, wanaamua kufanya mambo mengine.

Berry Black kipindi kile Aslay anafanya vizuri ndo alikuwa nguzo yao, walikuwa wanaishi wote kwenye Studio za Shirko pale Mikoroshini Mwembeyanga (TMK).

Jamaa alishajichokea anaishi maisha ya kitaa kabisa, zile kugongea fegi na mihogo kwa mama muuza fureshiii tu.
 
Huwa wanagundua muziki haulipi kivile, wanaamua kufanya mambo mengine.

Berry Black kipindi kile Aslay anafanya vizuri ndo alikuwa nguzo yao, walikuwa wanaishi wote kwenye Studio za Shirko pale Mwembeyanga.

Jamaa alishajichokea anaishi maisha ya kitaa kabisa, zile kugongea fegi na mihogo kwa mama muuza fureshiii tu.
ina maana kaishiwa mpaka sauti
 
Back
Top Bottom