Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hawa ndio walikuwa wanasimamia kile wanachohubiri, sio hawa wa fuata maneno yangu usiagalie matendo. Washenzi wakubwa, unawezaje kuwalazimisha watu wafanye kile kilichokushinda?Wachungaji
Maisha ya wawili
Israel waliteseka
Nabii hana hesima kwao
Nani kasema
Waganga wa kienyeji (huu wimbo nimeutafuta sana siupati)
N.k
Hawa ndio walikuwa wanasimamia kile wanachohubiri, sio hawa wa fuata maneno yangu usiagalie matendo. Washenzi wakubwa, unawezaje kuwalazimisha watu wafanye kile kilichokushinda?
🤣🤣🤣🤣🤣