Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Hawa ndio walikuwa wanasimamia kile wanachohubiri, sio hawa wa fuata maneno yangu usiagalie matendo. Washenzi wakubwa, unawezaje kuwalazimisha watu wafanye kile kilichokushinda?Wachungaji
Maisha ya wawili
Israel waliteseka
Nabii hana hesima kwao
Nani kasema
Waganga wa kienyeji (huu wimbo nimeutafuta sana siupati)
N.k
Hawa ndio walikuwa wanasimamia kile wanachohubiri, sio hawa wa fuata maneno yangu usiagalie matendo. Washenzi wakubwa, unawezaje kuwalazimisha watu wafanye kile kilichokushinda?
Hata mi siku zote Huwa nadhani ni mkenya, kama mtanzania atakuwa alikuwa na mashabiki sana kenyaMmmh! Hayupo Kenya huyo ndugu kweli?
Kama Bado unatafuta wimbo wa waganga wa kienyeji nitafute nikupe ,+255753893995Wachungaji
Maisha ya wawili
Israel waliteseka
Nabii hana hesima kwao
Nani kasema
Waganga wa kienyeji (huu wimbo nimeutafuta sana siupati)
N.k
Hawa ndio walikuwa wanasimamia kile wanachohubiri, sio hawa wa fuata maneno yangu usiagalie matendo. Washenzi wakubwa, unawezaje kuwalazimisha watu wafanye kile kilichokushinda?
Nyimbo yenyewe ya dini si uweke hapa? Namba za simu za nini sasaKama Bado unatafuta wimbo wa waganga wa kienyeji nitafute nikupe ,+255753893995
Labda anataka Cha juu πππNyimbo yenyewe ya dini si uweke hapa? Namba za simu za nini sasa
Kuna ngoma yake taifa teule hatari Sana ile
Mkuu kama hutojali naomba uniwekee hapa huu wimbo