Yuko wapi Darasa?

Yuko wapi Darasa?

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,261
Reaction score
9,733
huyu jamaa kaishia wapi baada ya kuachia lile song la nishike mkono kawa kimya zaidi tu nlimskia kwenye ngoma ya stamina ya mwambie mwenzio.
 
Tafuta ngoma yake ya mwisho kuitoa inaitwa mikono juu, kawashirikisha mchizi mox na shilole.
Kuhusu kutomsikia katka media, Fid Q alishasema;
".. walijigeuza nuhu, safina zao zikatoboka/
wakajigeuza musa, fimbo zao hazikugeuka nyoka/
sasa wanajifanya miungu watu, kuamua ni nani atatoka/..."
 
basi ngoja nizitafte maana jamaa namkubari sana ngoma zake zinanipa spirit ya kuhustle more
 
Darasa anakaza sana sema tu mfumo hauko upande wake kuna Nyimbo moja kafanya na Dito inaitwa weka Ngoma ni kali sana.
 
Anayo ngoma nyingine(nadhani ni mpya) inaitwa SIO MBAYA, ni ya ukweli.
 
warumi anajua siri ya darasa kutokutoka kimuziki...
 
Last edited by a moderator:
Mmh!! Binamu huyo darasa ndo namsikia humu, ndo nani teba

Kuna siku ulisema jamaa anajua ila pale clouds kuna jamaa punga anamtaka na yeye darasa hatakagi hayo mambo ndio maana hatoki...
Umesahau?
 
Han jina lingine aka? Maana si unajua umbea tunavyopigaga humu mpaka vingine tunasahau..
 
Hahahaaa nahisi utakua umesahau maana una maubuyu hadi mafaili yanakosekana...
Ila sisi unaotuhadithia ndio vinabaki kichwani...hahahaaaa
 
Mmh mimi nilivyokuwa mbea napata wapi mda wa kukaa na kuweka vitu moyoni? Mie vyote nasema , apa moyo mweupe sina chuki wala hila, moyo msafiii, umbea umenipa afya, ni moja kati ya mafanikio ninayojivunia, maana ningekufa kwa kweli, nimehangaika makanisani na kwa waganga imeshindikana
 
Hahahaaaa warumi unanichekeshaga sana ukisema hivi!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa warumi unanichekeshaga sana ukisema hivi!!!

Ahahah aha nikisema nini tena binamu? Mi nawashangaa watu wanaojificha nyuma ya keyboard wanaogopa kuja kupiga umbea humu wakat hakuna anayewajua na hata kama wakikujua kwani inahuu? Si unajipa raha? Inabidi nianzishe CAMPAIGN aiseh ya kuwahamasisha watu kupiga umbea, kwani unaleta afya na kuondoa magongwa kama kisukari na presha, mambo ya presha presha kwa wambea sie hatuna, mana tuna mioyo ya chuma ambayo haina sehemu ya kuhifadhia maneno, ila tunabeba vitu vizito mnoo
 
Hahahaaaa anzisha tu binamu mimi nitakusapoti maana ujue tunakosa umbea mwingi sana....penye wengi pana mengi ...
 
Maana nishavunja ndoa za watu kibao kwa ajili ya umbea mtu unampa siri kidogo tu anazimia, akizinduka anaenda kutoa siri, nfyuu mijitu mingine inapenda umbea ila ina Kifua cha plastic kama nguruwe
 
Mmh mimi nilivyokuwa mbea napata wapi mda wa kukaa na kuweka vitu moyoni? Mie vyote nasema , apa moyo mweupe sina chuki wala hila, moyo msafiii, umbea umenipa afya, ni moja kati ya mafanikio ninayojivunia, maana ningekufa kwa kweli, nimehangaika makanisani na kwa waganga imeshindikana

Ivi wewe ni ME au KE? Sorry.
 
Ivi wewe ni ME au KE? Sorry.

Nikusaidie nini labda? Au wewe ni nani humu kwa mfano? , na ukijua jinsia yangu itakusaidia nini? Samahani lakini. Maana sijaona sehemu ya kujaza jinsia humu wakat najiunga JF, so i wonder who are you to ask? And ili iweje? Jaribu kusoma kimya kimya halafu upite, leo weekend, usijpe stress ambazo hukupaswa kuwa nazo. Im sorry
 
Mmh mimi nilivyokuwa mbea napata wapi mda wa kukaa na kuweka vitu moyoni? Mie vyote nasema , apa moyo mweupe sina chuki wala hila, moyo msafiii, umbea umenipa afya, ni moja kati ya mafanikio ninayojivunia, maana ningekufa kwa kweli, nimehangaika makanisani na kwa waganga imeshindikana

Ona dume zima linajisifia umbea.
 
Back
Top Bottom