elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
huyu jamaa kaishia wapi baada ya kuachia lile song la nishike mkono kawa kimya zaidi tu nlimskia kwenye ngoma ya stamina ya mwambie mwenzio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh!! Binamu huyo darasa ndo namsikia humu, ndo nani teba
Kuna siku ulisema jamaa anajua ila pale clouds kuna jamaa punga anamtaka na yeye darasa hatakagi hayo mambo ndio maana hatoki...
Umesahau?
Han jina lingine aka? Maana si unajua umbea tunavyopigaga humu mpaka vingine tunasahau..
Hahahaaa nahisi utakua umesahau maana una maubuyu hadi mafaili yanakosekana...
Ila sisi unaotuhadithia ndio vinabaki kichwani...hahahaaaa
Mmh mimi nilivyokuwa mbea napata wapi mda wa kukaa na kuweka vitu moyoni? Mie vyote nasema , apa moyo mweupe sina chuki wala hila, moyo msafiii, umbea umenipa afya, ni moja kati ya mafanikio ninayojivunia, maana ningekufa kwa kweli, nimehangaika makanisani na kwa waganga imeshindikana
Hahahaaaa warumi unanichekeshaga sana ukisema hivi!!!
Ahahah aha nikisema nini tena binamu? Mi nawashangaa watu wanaojificha nyuma ya keyboard wanaogopa kuja kupiga umbea humu wakat hakuna anayewajua na hata kama wakikujua kwani inahuu? Si unajipa raha? Inabidi nianzishe CAMPAIGN aiseh ya kuwahamasisha watu kupiga umbea, kwani unaleta afya na kuondoa magongwa kama kisukari na presha, mambo ya presha presha kwa wambea sie hatuna, mana tuna mioyo ya chuma ambayo haina sehemu ya kuhifadhia maneno, ila tunabeba vitu vizito mnoo
Hahahaaaa anzisha tu binamu mimi nitakusapoti maana ujue tunakosa umbea mwingi sana....penye wengi pana mengi ...
Mmh mimi nilivyokuwa mbea napata wapi mda wa kukaa na kuweka vitu moyoni? Mie vyote nasema , apa moyo mweupe sina chuki wala hila, moyo msafiii, umbea umenipa afya, ni moja kati ya mafanikio ninayojivunia, maana ningekufa kwa kweli, nimehangaika makanisani na kwa waganga imeshindikana
Ivi wewe ni ME au KE? Sorry.