Yuko wapi DC wetu na celebrity huyu?

Yuko wapi DC wetu na celebrity huyu?

Me too

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2015
Posts
7,388
Reaction score
9,333
FB_IMG_16556577565650210.jpg

Huyu cerebrty mara ya mwisho kupost ni may 9 2022. Followers wake tulishazoea kupata habari motomoto hasahasa tangu apate u DC ila hivi sasa ukimya wake ndani ya mwezi bila post kunani?
 
Wananchi wa Temeke wanamuweka bize sana tofauti na kule maporini kisarawe.

Yupo na anapiga kazi zama zimebadilika hakuna haja tena ya kutembea na makamera..ni mwendo wa kulamba asali kimya kimya.

#MaendeleoHayanaChama
 
kwahiyo zama za
Wananchi wa temeke wanamuweka bize sana tofauti na kule maporini kisarawe.

Yupo na anapiga kazi zama zimebadilika hakuna haja tena ya kutembea na makamera..ni mwendo wa kulamba asali kimya kimya.

#MaendeleoHayanaChama
camera zimeisha?
 
Nje ya mada:
Wakulugwa wanasema ukiona mwnamke ameacha kupost picha mpya mtandaoni au anapost za zamani ujue ana mimba.
wengine wanaugua mkuu,,

huenda kile kispot uson kaenda kukikarabat..


swala lako wana temeke watalijibu hapa.
 
Back
Top Bottom