Yuko wapi Dkt. Harrison Mwakyembe Msomi aliyekuwa akiwazodoa wanaCCM ambao hawajaenda shule?

Yuko wapi Dkt. Harrison Mwakyembe Msomi aliyekuwa akiwazodoa wanaCCM ambao hawajaenda shule?

Amekuwa kimya sana na wala hasikiki kabisa.

Alikuwa na mbwembwe na majivuno alipokuwa akijieleza wakati wa kura za maoni za Ccm lakini wanaCcm wenzake walimlambisha mchanga.

Where is he?

Unafikiri Kafulia au kachoka baada ya utumishi wa miaka na maka?

Unajua ni ana sifa za kuwa mkufunzi wa chuo kikuu na amefundisha sana tu. Si mtu aliyekosa fursa aisee!!
 
Dr. Mwakyembe ni msomi kwelikweli tena anaejielewa na mwenye tija kwa nchi.
 
Dr. Mwakyembe ni msomi kwelikweli tena anaejielewa na mwenye tija kwa nchi.
Huko kwao ukilitaja jina la mwakyembe,utapokea kipigo Cha mbwa koko
Hawamkubali hata kidogo wanamuona takataka...
Aliwahi kujibiwa mbovu live na aliekuwa mchezaji wa zamani wa yanga mwaikimba ...aibu tuliipata sisi tuliokuwa eneo hilo

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom