Alijenga ghorofa lenye thamani ya one billion enzi za JK Bahari Beach halafu akawa anauitarais wa mioyo ya Watanzania wote fisadi ndugu Rais Edward Ngoyai Lowassa.Ni mkuu wa chuo
Life tu hili lisomi uchwara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alijenga ghorofa lenye thamani ya one billion enzi za JK Bahari Beach halafu akawa anauitarais wa mioyo ya Watanzania wote fisadi ndugu Rais Edward Ngoyai Lowassa.Ni mkuu wa chuo
Halafu lilikuwa chawi. Kumbuka press conference ya Roma yani limekaa Benet na Roma kwa maelekezo ya Bashite huku likimkodolea macho makali Roma akiongea na waandishi ili Roma asiseme ukweli alivyotekwa.Hata mimi kitambo sijamsikia huyu mzee wa degree nne....
Wasikudanganye mwamba ubunge ndio kila kitu kwao ndio maana huwa wako tiari kuua kuwanga kujeruhi na machukizo mengine wakati wa kampeniAjira ni ubunge tu?
Unamjua vizuri Mwakyembe na Uwekezaji wake kibiashara?
Huyu si ndo aliikana thesis yake ilisapoti serikali tatu lakini wakati wa mjadala wa katiba ya Warioba akaponda serikali tatu?!!!Dr. Mwakyembe ni msomi kwelikweli tena anaejielewa na mwenye tija kwa nchi.
Brother nyabhingi imeisha mkuuHuyu si ndo aliikana thesis yake ilisapoti serikali tatu lakini wakati wa mjadala wa katiba ya Warioba akaponda serikali tatu?!!!
Huyu sio msomi ni njaa kali aliyekariri
Biashara usimama kwa sababu ya mshahara sio wa kwanza yeye mpe miaka 5 nje ya mshahara ukapate jibu kama hizo bizness zinaendelea au laAjira ni ubunge tu?
Unamjua vizuri Mwakyembe na Uwekezaji wake kibiashara?
Mwakyembe alibugi kuwakandia darasa la saba wakati majority ya wajumbe walikuwa darasa la saba. Alijizika mwenyewe.Amekuwa kimya sana na wala hasikiki kabisa.
Alikuwa na mbwembwe na majivuno alipokuwa akijieleza wakati wa kura za maoni za Ccm lakini wanaCcm wenzake walimlambisha mchanga.
Where is he?
Na nywele pamoja na ngozi ya mwili vikanyonyoka.Halafu lilikuwa chawi. Kumbuka press conference ya Roma yani limekaa Benet na Roma kwa maelekezo ya Bashite huku likimkodolea macho makali Roma akiongea na waandishi ili Roma asiseme ukweli alivyotekwa.
Lijamaa libishi sijui lilisavaivu vipi ile sumu ambayo lilikuwa linatoka magadi
Kwa sasa yuko busy zaidi na Dozi zake.Amekuwa kimya sana na wala hasikiki kabisa.
Alikuwa na mbwembwe na majivuno alipokuwa akijieleza wakati wa kura za maoni za Ccm lakini wanaCcm wenzake walimlambisha mchanga.
Where is he?
Huyo ni ccm ndiyo maana anawatafuta wenzakeKumbe huwa mnawamiss wana CCM !!
positive impact yake Ni ipi .Dr. Mwakyembe ni msomi kwelikweli tena anaejielewa na mwenye tija kwa nchi.
Wahenga walisema kila zama na kitabu chake.zama zake zimepitaAmekuwa kimya sana na wala hasikiki kabisa.
Alikuwa na mbwembwe na majivuno alipokuwa akijieleza wakati wa kura za maoni za Ccm lakini wanaCcm wenzake walimlambisha mchanga.
Where is he?
Digrii 4Amekuwa kimya sana na wala hasikiki kabisa.
Alikuwa na mbwembwe na majivuno alipokuwa akijieleza wakati wa kura za maoni za Ccm lakini wanaCcm wenzake walimlambisha mchanga.
Where is he?
Kwani hajasoma? Na wewe unayo elimu yake?Amekuwa kimya sana na wala hasikiki kabisa.
Alikuwa na mbwembwe na majivuno alipokuwa akijieleza wakati wa kura za maoni za Ccm lakini wanaCcm wenzake walimlambisha mchanga.
Where is he?
Waliogopa umande wana wivu sana.tatizo hamjiamini mbele ya waliosoma, kama umesoma ,umesoma tu na kama hujasoma utabaki wa kulaumu tu wakati wenzako wanawahi asubuhi kwenda shule,wengine mlikuwa mnaogopa umande, siku hizi hakuna umande kwa maana kuna barabara .Sio sababu ya kudharau ambao hawajasoma