Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,420 Reaction score 18,298 Sep 6, 2021 #41 ujoka said: Wasikudanganye mwamba ubunge ndio kila kitu kwao ndio maana huwa wako tiari kuua kuwanga kujeruhi na machukizo mengine wakati wa kampeni Click to expand... Ubunge ndo kila kitu ndo maana wanaacha hata ukuu wa wilaya na mkoa wanakimbilia ubunge ,ndo maana wanaiba hadi kura na kuua watu
ujoka said: Wasikudanganye mwamba ubunge ndio kila kitu kwao ndio maana huwa wako tiari kuua kuwanga kujeruhi na machukizo mengine wakati wa kampeni Click to expand... Ubunge ndo kila kitu ndo maana wanaacha hata ukuu wa wilaya na mkoa wanakimbilia ubunge ,ndo maana wanaiba hadi kura na kuua watu
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Sep 7, 2021 #42 Kamanda Asiyechoka said: Amekuwa kimya sana na wala hasikiki kabisa. Alikuwa na mbwembwe na majivuno alipokuwa akijieleza wakati wa kura za maoni za Ccm lakini wanaCcm wenzake walimlambisha mchanga. Where is he? Click to expand... Wewe ni mwana CCM mwenzake na unajua alipo
Kamanda Asiyechoka said: Amekuwa kimya sana na wala hasikiki kabisa. Alikuwa na mbwembwe na majivuno alipokuwa akijieleza wakati wa kura za maoni za Ccm lakini wanaCcm wenzake walimlambisha mchanga. Where is he? Click to expand... Wewe ni mwana CCM mwenzake na unajua alipo