Yuko wapi Dr. Levy mchoraji wa Katuni ya Baba Ubaya na mwimbaji wa Wimbo wa Kura yangu?

Yuko wapi Dr. Levy mchoraji wa Katuni ya Baba Ubaya na mwimbaji wa Wimbo wa Kura yangu?

Nafaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
12,154
Reaction score
31,246
Huyu jamaa alikuwa ndiye mchoraji wa katuni maarufu ya baba ubaya kwenye Gazeti la Kiu kabla ya kuacha kazi na nafasi yake kuchukuliwa na mtu mwingine. Sijui kama hili gazeti bado lipo mtaani?

Alikuwa rafiki yake Sugu, na nakumbuka alitoa kibao mwanana kinachojulikana kama Kura yangu. Kilikuwa na ujumbe mzuri kweli na alimshirikisha sugu. Baada ya hapo safari yake ya kimziki nadhani iliishia hapo sikuwahi kumsikia tena

Mwenye taarifa zake aniambie tafadhali maana nimekumbuka mashairi safi kabisa ya wimbo wake wa kura yangu
 
Back
Top Bottom