Bado ana chora vibonzo?Yupo gazeti LA mwananchi
Hapana anaandika makala za siasa na Burudani hasa mwananchi La JumapiliBado ana chora vibonzo?
Ohoo sawa,ila yuko vizuri sana kuchora vibonzo.Hapana anaandika makala za siasa na Burudani hasa mwananchi La Jumapili
Awamu hii makosa mengi ni ya uhujumu uchumi.Kwa kosa gani mkuu
Kila siku anatoa makala kwenye magazeti.Aisee jamaa yupo jela.