Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,580
Naombeni kuuliza mzee huyu aliyejizolea umaarufu mkubwa kupitia mnada wa nyumba za lugumi.
Yuko wapi huyu mzee,je zile fedha zake na mambo yake yaliendeleaje?
Yuko ndani ya nchi hii kweli au,mbona hata haonekani kabisa,au ameshahamia ulaya au marekani?
Naombeni kujua.
Sent using Jamii Forums mobile app