Yuko wapi Emmanuel Buhohela?

Wivu wa kike umekujaa,unalalamika kama vile unamfahamu
 
nchi bado sana.. sasa mtu kama huyo hakuwa na uhuru wa kufanya kazi yake kwani alishabanwa asingeweza kuripoti tofauti na matakwa ya kina kinana, bulembo n.k
Hakuwa huru ulikuwa labda inatazama tv mbao yako chumbani, alikuwa kampuni binafsi ma alikuwaga mmoja wa watangazaji huru.
 
Wapi ivona Kamuntu, abdalah tilata na jackline selemu? Hawa wamesahaulika?
 
Siku nikimuona Magu lazima nimsogelee ili nimfunge hata kamba za viatu,maana nimegundua nchi hii ukijua kujipendekeza umetoka.
 
Siku nikimuona Magu lazima nimsogelee ili nimfunge hata kamba za viatu,maana nimegundua nchi hii ukijua kujipendekeza umetoka.
kufunga viatu [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
unanikumbusha konda mmoja wa daladala pale magomenii
 
Magufuli kampeleka kwenye kozi fupi. E. Bohohela.
 
mwenzako amebeti vizuri sio akina lamrc sijui spancer , r, masako wanakuwa kwenye upande usio elewaka kabisa watazeekea hapo itv , bohohela big up brother .. wew ni mmoja wa mapresenter hodar sana hakika hiyo nafasi haijaja kwa bahati mbaya ulistahiki
 
nchi bado sana.. sasa mtu kama huyo hakuwa na uhuru wa kufanya kazi yake kwani alishabanwa asingeweza kuripoti tofauti na matakwa ya kina kinana, bulembo n.k
Ni kweli mkuu, ni kama SPENSA LAMECK wa ITV alivyokuwa hayupo huru, alishabanwa asingeweza kuripot tofauti na matakwa ya kina mbowe, lowasa, nk
 
Nchi hii kila sekita ni majipu inavyoonekana hata taaluma ya uandishi wa habari nayo ni Majipu.
 
Huyu Buhohela alikuwa mtangazaji wa ITV na amepotea baada ya uchaguzi mkuu. Nilijua atakuwa likizo, lakini sasa nj zaidi ya siku 110 haonekani. Mwingine ni huyu bwana Mubali, alikuwa mtangazaji mpya wa BBC swahili ila naona nae haonekani.

Wako wapi watu hawa walioanzia Radio Kwizera ya Ngara?
 
Mubali nimemsikia BBC Swahili TV wiki iliyopita akiripoti habari ya simba kuingia mitaani huko Kenya. Huyo Buhohela huenda kapewa kitengo na Magufuli.
 
Buhohela pamoja na mpiga picha wake, John Chacha pamoja na Haniu wa TBC wapo katika kitengo cha Kurugenzi ya mawasiliano wakiongozwa na Gerson Msigwa.
 
JAMANI SIASA ZA KAMPENI ZILIMPELEKA WAPI EMMANUEL BUHOHELA WA ITV!
 
alikua kazini kama walivyokua maaskari nk
 
Zilimpeleka Ikulu, siku iz yupo kurugenzi ya Mawasiliano Ikuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…