Wivu wa kike umekujaa,unalalamika kama vile unamfahamuDah inatia hamasa kuwa mwandishi wa habari za kampeni......nchi hii...... ndio maana ni kati ya mataifa masikini zaid duniani.......
Ni lini alikuwa mwandishi wa habari na lini alikuwa campain manager wa mgombea? how about the legacy?
Waandishi wengine wanajifunza nini? na hii ni kwa Devotha Minja na waandish wengine wote......