Yuko wapi Emmanuel Buhohela?

Only in Tanzania... Watu waliofeli form four ndio wanaenda kufanya kazi whitehouse, na cream zote mtaani.. Ni shidaah.
Hapo ujue kuwa wewe ndio uliefeli na huyo ndie aliefaulu. Mwenzio ana A ya maisha na 0 ya kwenye makaratasi, we una A ya kwenye makaratasi na 0 ya maisha. Sasa hapo we na yeye nani poyoyo?
 
Hapo ujue kuwa wewe ndio uliefeli na huyo ndie aliefaulu. Mwenzio ana A ya maisha na 0 ya kwenye makaratasi, we una A ya kwenye makaratasi na 0 ya maisha. Sasa hapo we na yeye nani poyoyo?

Poyoyo wewe unayejibu hoja kwa hisia bila kufikiri kwa umakini... Sehemu kama hizo duniani kote hukaa watu wenye high IQ....hata marekani wanachukua hata watu wa mataifa mengine ili mradi tu awe smart kichwani. Sasa unabwabwaja hapa... Potea huko.
 
Hapo ujue kuwa wewe ndio uliefeli na huyo ndie aliefaulu. Mwenzio ana A ya maisha na 0 ya kwenye makaratasi, we una A ya kwenye makaratasi na 0 ya maisha. Sasa hapo we na yeye nani poyoyo?
wewe
 
Naona mkuu kalipa fadhira. Jamaa alikua nae kwenye kampeni mwanzo mwisho wakati yule dogo spensa lameck a is anazungushazungusha mikono!.
 
Hivi kumbe watu waliosoma na kufaulu vizuri wanaongoza kwa majungu kama wanawake????
 
Umejuaje jamaa hajasoma "no research no right to speak" kama kasoma akikushtaki kwa kumkashifu utasema kakuonea!! weka akiba ya maneno
 
Only in Tanzania... Watu waliofeli form four ndio wanaenda kufanya kazi whitehouse, na cream zote mtaani.. Ni shidaah.
Endelea kukariri maisha hayana formula na haiji kutokea kamwe..subiri na wewe kam cream uitwe whitehouse,hatuna shida na cream za kukariri mitihani.tunahitaji watu ambao kwa mazingira yoyote yale anafanya kazi.Huo ndio utofauti unaouona kati wetu wa wenzetu huko kwengine.Cream nyingi za bongo ni kujibu mitihani.Ni ni janga africa nzima,tunahitaji cream zinazo zalisha na zinzotoa positive effects kwa taifa....tunao walifeli form 4 na bado hatuwafikii kiutendaji na kimaisha.
 
Hapo ujue kuwa wewe ndio uliefeli na huyo ndie aliefaulu. Mwenzio ana A ya maisha na 0 ya kwenye makaratasi, we una A ya kwenye makaratasi na 0 ya maisha. Sasa hapo we na yeye nani poyoyo?
Yeuwiiii umeua kiongozi
 
Wanajamvi hamjambo? Katika uzi huu hurusiwi kuchangia kama hujaitika ujambo.

Du kumbe kutembea na wagombea hasa wa viti vya uraisi kunalipa kiasi hiki? Jana nikiwa sehemu nimejibanza maeneno ya Posta alikuja jamaa, akaniuliza samahani kaka, mimi nimetokea Kanyigo, nataka niende Ikulu, kwa mbali ikabidi nimwangalie, kumcheki vizuri amevaa suruali ya mchele mchele, shati ya kaunda, mkononi kashika bahasha imejaa alama za jasho, daaa, gafla nikamuuliza unafuata nini akanijibu namfata Imanuel Buhohela? Nikamjibu '' we Buhohela yupo, kwa mzee mengi kule ITV,'' alinikata jicho baya utadhani amekutana na wale masekeretari wa mawizarani na miwani yao katikati ya pua utadhani pua ndo haioni, kumbe viburi tu vya kutaka watu wawaone wamesoma kumbe masekretari wa upe.

Ndipo alipoitikia kijana mmoja mwandishi wa habari kwa haraka, wewe Sifileo vipi kaka? Mchizi yupo ikulu siku hizi anakula upepo, chezea kuzunguka nchi nzima wewe? Da pale pale nikasema sasa mzee mengi inabidi abadilike aache ubazazi wake kwa kutoa ajira za kibazazi maana kama media yake imetoa mwandishi wa ikulu si kazi ndogo.

Heko, Imma, msaidie Msigwa. Ila ikulu hicho sio kigezo pekee cha kuwaingiza watu, maana inasemekana kuna njomba alimperkea mtu kisa anajua kupika ugali wa kikwao. Karibuni hii ni taarifa hurusiwi kutoa maoni, ila baada ya hapo yule kijana tulimwelelekza ikulu kuwa aende kwa mbele atakuta mtaa unaitwa Baraka Obama, kijana aligoma kwa kusema tunamdanganya, haiwezekekeni ikulu ya nchi mtaa uitwe Obama, nikamjibu kuwa tulipokuwa tumefikia hata kitanda anacholalia kilikaribia kuitwa Dangote na si Kikwete.
 
Wapo wengi walitokea kwa style hiyo hiyo wengine wamefika hadi RC...uliza Dada yetu alietoka WAMA hadi RC....nae alizunguka na Mama wa 1 mstaafu alipomaliza tu akaanzia DC hadi akafika RC! Acheni Buho nae ale jasho lake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…