Yuko wapi Emmanuel Buhohela?

Yuko wapi Emmanuel Buhohela?

Nimependa fasihi iliyotumika kuleta ujumbe.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kula like mkuu kwa uwezo wako mzuri wa uwasilishaji wa taarifa, utakuwa mwandishi mzuri sana unafaa kuwa mteule wa Rais ukaungane na Emmanuel Buhohela.
 
Rais magufuri ameamua kuikomboa Tanzania tumuunge mkono Maadui ni marekani na washirika wake walioko Tanzania km nyarandu na masenetar wa kimarekani lowassa na barozi wa marekani sasa naamini mgombea wng lowassa alikua mtu wa visasi nasi kuatumikia watanzania
Commander in chief walk alone with us walk with Tanzania future,poverty must leave us with God we can
ImageUploadedByJamiiForums1459914672.037720.jpg
 
Hadithi ndefu ya nini,lengo nitujue
Imma yuko ikulu kikazi tunashukuru wengi waelewa humu usijichoshe siku nyingine.
mbona umepaniki, mnagawana upepo wa ikulu nini?pole kama mama yako ni sekretari wizarani mwambie ajirekebishe, pua haina haja ya kuvaa miwani
 
Asante mkuu, kwa pongezi ni kweli mimi ni mhandishi by
Kula like mkuu kwa uwezo wako mzuri wa uwasilishaji wa taarifa, utakuwa mwandishi mzuri sana unafaa kuwa mteule wa Rais ukaungane na Emmanuel Buhohela.
proffesional ila utunzi wa hadithi ni kipaji nilicho zaliwa nacho, namshukuru Mungu ingawa ni kpaji nilicho kiua kwa sababu ya umasikini wangu nimejikuta benki nakuwa afsa mkopo, duaaaaaaaaaaaaaaaa! narudi kwenye fani sooooooooon hope utanunua vitabu vyangu.
 
Nimependa fasihi iliyotumika kuleta ujumbe.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
asante mkuu NAPENDA nadhani we umenielewa nimeona ni bopra nikaleta dhamira tatu au nne kupitia uzi mmoja ingawa mijitu mipuuz hisyo penda kusoma inakurupuka inaona themes ya buhoela daaaaaaaaaa!
 
spensa lameck asubiri fisadi kuu kuingia ikulu naye ndo ale shavu.
Dogo anajua sana kuripoti aisee kwa bongo bado sijaona anaemfikia...siku yake itafika lazma vyombo vya nje vitamchukua
 
Asante mkuu, kwa pongezi ni kweli mimi ni mhandishi by

proffesional ila utunzi wa hadithi ni kipaji nilicho zaliwa nacho, namshukuru Mungu ingawa ni kpaji nilicho kiua kwa sababu ya umasikini wangu nimejikuta benki nakuwa afsa mkopo, duaaaaaaaaaaaaaaaa! narudi kwenye fani sooooooooon hope utanunua vitabu vyangu.

Hahaha! Rudi mkuu utauza sana. Endelea na kazi yako ya bank na utunzi wa vitabu fanya kwa muda wa ziada. Ukikua zaidi katika hiyo kazi endesha mwenyewe achana na kazi ya kuajiriwa.
 
Asante mkuu, kwa pongezi ni kweli mimi ni mhandishi by

proffesional ila utunzi wa hadithi ni kipaji nilicho zaliwa nacho, namshukuru Mungu ingawa ni kpaji nilicho kiua kwa sababu ya umasikini wangu nimejikuta benki nakuwa afsa mkopo, duaaaaaaaaaaaaaaaa! narudi kwenye fani sooooooooon hope utanunua vitabu vyangu.
Mbona bado unatafuta kazi?
 
ANGEKUWA EDDO IKULU NANI vile angekula utangazaji wa ikulu..............................watu walienda mpaka vijijini kwa wagombea kuhoji tu usiwape ulaji lazima ukapimwe DIALO BADO maana star tv kipindi cha kampeni
 
Ndio akili ya kijana,lazima ujue na utumie fursa,sio kupiga zogo tu.
Mwache ale shavu,wapiga zogo waendelee kama kawaida yao.
Kijana akili
 
Huyu alikuwa ni kijana mtangazaji wa kituo binafsi cha luninga cha ITV.Alisikika zaidi wakati akiripoti habari za kampeni urais za chama Cha mapinduzi (CCM) mwishoni mwa mwaka 2015.

Binafsi baada ya uchaguzi kumalizika na serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani na teuzi juu ya teuzi zikaanza,sijawahi kumsikia huyu mtangazaji wala kumwona katika kituo hicho cha televisheni au kwingineko.

Naombeni mwenye kufahamu alipo huyu mwanahabari au na yeye yuko huko kwa Msigwa?
 
Somo hapo juu lahusika, nimetoa maoni yangu kuwa nimeamua kijiunga ccm na kwa muda mara uzi wangu ukatolewa sijajua tatizo ni nini?

Kiukweli mumeniudhi sana huu ni uamuzi wangu na hiari yangu kwanini mzuie mimi kutoa maoni yangu.

Nitawashitaki TCRA hakika sikubali haki yangu hii kupokwa kizembe nawaapia jiandaeni na kesi. Sitanyamaza kwa hili
 
Kwa hili sikubali kabisa tutafikishana mbali nawaambia.
 
Back
Top Bottom