Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona umepaniki, mnagawana upepo wa ikulu nini?pole kama mama yako ni sekretari wizarani mwambie ajirekebishe, pua haina haja ya kuvaa miwaniHadithi ndefu ya nini,lengo nitujue
Imma yuko ikulu kikazi tunashukuru wengi waelewa humu usijichoshe siku nyingine.
proffesional ila utunzi wa hadithi ni kipaji nilicho zaliwa nacho, namshukuru Mungu ingawa ni kpaji nilicho kiua kwa sababu ya umasikini wangu nimejikuta benki nakuwa afsa mkopo, duaaaaaaaaaaaaaaaa! narudi kwenye fani sooooooooon hope utanunua vitabu vyangu.Kula like mkuu kwa uwezo wako mzuri wa uwasilishaji wa taarifa, utakuwa mwandishi mzuri sana unafaa kuwa mteule wa Rais ukaungane na Emmanuel Buhohela.
asante mkuu NAPENDA nadhani we umenielewa nimeona ni bopra nikaleta dhamira tatu au nne kupitia uzi mmoja ingawa mijitu mipuuz hisyo penda kusoma inakurupuka inaona themes ya buhoela daaaaaaaaaa!Nimependa fasihi iliyotumika kuleta ujumbe.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Dogo anajua sana kuripoti aisee kwa bongo bado sijaona anaemfikia...siku yake itafika lazma vyombo vya nje vitamchukuaspensa lameck asubiri fisadi kuu kuingia ikulu naye ndo ale shavu.
Asante mkuu, kwa pongezi ni kweli mimi ni mhandishi by
proffesional ila utunzi wa hadithi ni kipaji nilicho zaliwa nacho, namshukuru Mungu ingawa ni kpaji nilicho kiua kwa sababu ya umasikini wangu nimejikuta benki nakuwa afsa mkopo, duaaaaaaaaaaaaaaaa! narudi kwenye fani sooooooooon hope utanunua vitabu vyangu.
Mbona bado unatafuta kazi?Asante mkuu, kwa pongezi ni kweli mimi ni mhandishi by
proffesional ila utunzi wa hadithi ni kipaji nilicho zaliwa nacho, namshukuru Mungu ingawa ni kpaji nilicho kiua kwa sababu ya umasikini wangu nimejikuta benki nakuwa afsa mkopo, duaaaaaaaaaaaaaaaa! narudi kwenye fani sooooooooon hope utanunua vitabu vyangu.
Kazi ni msingi wa maisha hasiyefanya kazi na hasire,Mbona bado unatafuta kazi?
Laughing...........mbona umepaniki, mnagawana upepo wa ikulu nini?pole kama mama yako ni sekretari wizarani mwambie ajirekebishe, pua haina haja ya kuvaa miwani