Yuko wapi Enock Bwigane?

Ni afisa habari sijui kwenye taaasisi gani vile...nilimuona tbc anatangazia hilo shirika sijui la nyumba...
Kanenepa hatari
Dah! Kweli hapa duniani hakuna mtu mwembamba. Enzi anaanza kazi TBC, dogo alikuwa ni mwembamba mpaka basi. Shughuli ilianza mara tu baada ya kupata jiko.
 
Dah! Kweli hapa duniani hakuna mtu mwembamba. Enzi anaanza kazi TBC, dogo alikuwa ni mwembamba mpaka basi. Shughuli ilianza mara tu baada ya kupata jiko.
Hakunaga mwembamba namkumbuka alikua mwembamba mpk anatia huruma
 
Yupo TBC Nadhani Ni Mhariri Wa Habari Za Michezo
Pia Anatangaza Kipindi Cha TPA Upande Wa Radio Hivyo Anakwenda Tanga,Dar Es Salaam Mtwara, Mwanza, Kigoma, Ruvuma

Kote Huko Anaandaa Kipindi Cha Bandari
asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…