Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Mwacheni malafyale, yupo salama anapiga kazi TBC na bandari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Kweli hapa duniani hakuna mtu mwembamba. Enzi anaanza kazi TBC, dogo alikuwa ni mwembamba mpaka basi. Shughuli ilianza mara tu baada ya kupata jiko.Ni afisa habari sijui kwenye taaasisi gani vile...nilimuona tbc anatangazia hilo shirika sijui la nyumba...
Kanenepa hatari
Inataka ujasiri wa hali ya juu kukaza jiko linaloweza kuleta duniani.Dah! Kweli hapa duniani hakuna mtu mwembamba. Enzi anaanza kazi TBC, dogo alikuwa ni mwembamba mpaka basi. Shughuli ilianza mara tu baada ya kupata jiko.
Hakunaga mwembamba namkumbuka alikua mwembamba mpk anatia hurumaDah! Kweli hapa duniani hakuna mtu mwembamba. Enzi anaanza kazi TBC, dogo alikuwa ni mwembamba mpaka basi. Shughuli ilianza mara tu baada ya kupata jiko.
asanteAfisa Habari Mamlaka ya Bandari
kumbeNi afisa habari sijui kwenye taaasisi gani vile...nilimuona tbc anatangazia hilo shirika sijui la nyumba...
Kanenepa hatari
asanteYupo TBC Nadhani Ni Mhariri Wa Habari Za Michezo
Pia Anatangaza Kipindi Cha TPA Upande Wa Radio Hivyo Anakwenda Tanga,Dar Es Salaam Mtwara, Mwanza, Kigoma, Ruvuma
Kote Huko Anaandaa Kipindi Cha Bandari
Ni kiwembe balaaaMwacheni malafyale, yupo salama anapiga kazi TBC na bandari