Hivi ni Ezekiel Mwalongo au Ezekiel Marongo/Malongo? Sikumbiki kama aliwahi kufanya kazi TBS!
Duh, kwani aliacha fani yake? Au
Alifukuzwa kazi coz ulevi kazini.
AhsanteAlikuwa anafanyia kiwanda cha bia BREWERIES na kazi yake kubwa ilikuwa ni kupunguza kwa kunywa bia inayozidi kwenye chupa ndio maana bia zote zipo pungufu.
....aliwahi kufanya hapo, alikuwa mdhibiti ubora wa maneno
Hivi ni Ezekiel Mwalongo au Ezekiel Marongo/Malongo? Sikumbiki kama aliwahi kufanya kazi TBS!
Alikuwa anafanyia kiwanda cha bia BREWERIES na kazi yake kubwa ilikuwa ni kupunguza kwa kunywa bia inayozidi kwenye chupa ndio maana bia zote zipo pungufu.