Yuko wapi Ezekiel Mwalongo wa RTD Radio/TBC?

Yuko wapi Ezekiel Mwalongo wa RTD Radio/TBC?

Makaura

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
892
Reaction score
295
Namkumbuka huyu mtangaza alivokua anachambua michezo kama cherehani vile(kwa spidi). Yuko wapi jamani?
 
kwa mara ya mwisho nilionana nae mbeya 2010 akjtambulisha,kama,mkaguz elimu nyanda za juu kusini
 
yuko mjini anaganga njaa tu, mtafute tu vijiwe vya shoe shine vya posta ukumuangalia tu na akihisi unamfananisha lazima akupige kizinga cha nauli
 
Hivi ni Ezekiel Mwalongo au Ezekiel Marongo/Malongo? Sikumbiki kama aliwahi kufanya kazi TBS!
 
wakati anatangaza kipindi cha michezo RTD alikuwa anajiita beki mstaarabu
 
Hivi ni Ezekiel Mwalongo au Ezekiel Marongo/Malongo? Sikumbiki kama aliwahi kufanya kazi TBS!

....aliwahi kufanya hapo, alikuwa mdhibiti ubora wa maneno
 
Hiv ni TBC au TBS?........kuna kipind alikuwa RFA baada ya hapo sijawah kumsikia tena
 
Alikuwa anafanyia kiwanda cha bia BREWERIES na kazi yake kubwa ilikuwa ni kupunguza kwa kunywa bia inayozidi kwenye chupa ndio maana bia zote zipo pungufu.
 
Alifukuzwa kazi coz ulevi kazini.

nikweli kabisaa..huyu muiraq alikuwa mlevi kupindukia..aliwah kutapikia karatas za taarifa ya habari tbc ...pia anaruka sarakas sanaaa...yaan mtundu sanaaa..ila ndio hivyo..akaenda star tv..baadae akashindwa..now yupo kitaan tu omba omba
 
Back
Top Bottom