Yuko wapi FaizaFoxy wa JamiiForums?

Niliwahi kusema humuhumu JF, wengi "wanachukia kunipenda", wakikosa kuniona wanani miss kwa sana tu, nyie mnayakinisha hilo.

You hate to love me.

I love you all (Kwa sauti ya Magufuli).
Bibi hivi lile ombi langu hukuliona au? maana msimu wa kilimo umeshakaribia..huku mtaani namba zinasomeka kweli...
 
Niliwahi kusema humuhumu JF, wengi "wanachukia kunipenda", wakikosa kuniona wanani miss kwa sana tu, nyie mnayakinisha hilo.

You hate to love me.

I love you all (Kwa sauti ya Magufuli).
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapana, kile kitoto chetu ki umri.
Bi faiza huwa unalima mazao gani?
naomba ushauri nina shamba lkn mpaka sasa hivi sijajua nilime nini?
ingawa msimu uliopita nililima alizeti na mahindi ya njano.Lkn alizeti sikupata niambulia kidogo mahindi.
 
Unalima wapi?
 
Ahsante sana, hivi sasa nimeanzisha ukurasa wa Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Karibu sana uchangie mada huko. Kuna maswali mengi ambayo nnaulizwa na nnauhakika kuna wengi humu wana uwezo wa hali ya juu wa kujibu mengineyo mengi.
 
Afazali manake......hofu imetamalaki.🙁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…