Yuko wapi FaizaFoxy wa JamiiForums?

Yuko wapi FaizaFoxy wa JamiiForums?

Leave her alone, let's breathe for a while! We have been suffocated by her poisonous tongue for a looong time.
 
Unlike JK, JPM does not need babysitting. So wait for her poison in 2025 and ahead!
 
Unafaa uwe kwenye blog za udaku special.

Nashukuru, kuanzia majumba ya urithi mpaka ya kujenga mwenyewe hakuna lililopo bondeni na hakuna lililoathirika na ikitokea siku kuwa lipo litalobomolewa kwa kupitisha maendeleo basi ntakula mkwanja mzuri tu na sinto-sita kuachia kwa ajili ya maendeleo.

Shamba au niseme mashamba nna maeneo ya kulima mpaka mengine nilitoa offer humu JF kwa atakae kulima aje kulima na waliochukuwa fursa hiyo sasa wanafaidika, mambo swaaafi kabisa.

AlhamduliLlah nipo tena nashukuru nipo fit kabisa na hivi nipo busy kijijini natayarisha mashamba, ndiyo msimu wake huu.

Karibu maembe dodo, msimu ndio unamalizikia, huku kwetu embe dodo moja lilikuwa shillingi 200 sasa yamefika 300. Njooni fursa hiyo, Dar yanafika mpaka 1,000 kwa reja reja.
N wapi huko m pia mkulima napenda sana kuinvest kwenye kilimo
 
Achana na hili bwege linalojiita FaizaFoxy ni shetani hilo.
 
Back
Top Bottom