DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,966
Kijana wa 4 U Movement upo? Monduli kunakalika?Mkuu Lizaboni endelea na gumzo la siasa JF wakati wenzako wanatengeneza maisha Mkuranga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana wa 4 U Movement upo? Monduli kunakalika?Mkuu Lizaboni endelea na gumzo la siasa JF wakati wenzako wanatengeneza maisha Mkuranga
Mkuu leo ni mojawapo ya siku ulizojibu kwa Hekima, bila kejeli wala Hasira.
Una hekima kaka kaka yako wa Msoga,kweli umejibu kwa staha mpaka nikashangaa kwasababu nilikuwa napitia hii thread kutafuta majibu yakoMkuranga kwa Wacanada.
Dah!!! Natamani kuwa mkulima mix ufugaji sema bado mambo hayajakaa.
Hongera zako mkuu.
Atakuwa Kilwa Masoko
Huk
Huko Kilwa kuna historia kubwa sana ya kuweza kukujuza wewe ni nani. Soma
N wapi huko m pia mkulima napenda sana kuinvest kwenye kilimoUnafaa uwe kwenye blog za udaku special.
Nashukuru, kuanzia majumba ya urithi mpaka ya kujenga mwenyewe hakuna lililopo bondeni na hakuna lililoathirika na ikitokea siku kuwa lipo litalobomolewa kwa kupitisha maendeleo basi ntakula mkwanja mzuri tu na sinto-sita kuachia kwa ajili ya maendeleo.
Shamba au niseme mashamba nna maeneo ya kulima mpaka mengine nilitoa offer humu JF kwa atakae kulima aje kulima na waliochukuwa fursa hiyo sasa wanafaidika, mambo swaaafi kabisa.
AlhamduliLlah nipo tena nashukuru nipo fit kabisa na hivi nipo busy kijijini natayarisha mashamba, ndiyo msimu wake huu.
Karibu maembe dodo, msimu ndio unamalizikia, huku kwetu embe dodo moja lilikuwa shillingi 200 sasa yamefika 300. Njooni fursa hiyo, Dar yanafika mpaka 1,000 kwa reja reja.
Sifa kubwa kwangu hiyo.Hapo ndipo utaelewa foxy sio mtu mmoja! ni group la watu......
Mkuranga.N wapi huko m pia mkulima napenda sana kuinvest kwenye kilimo
Natazama live Israel inavyoteketea.Anashughulikia mambo ya viwanja wa NSSF
Wanasema ugaidiNatazama live Israel inavyoteketea.