Yuko wapi Fina Mango...

Yuko wapi Fina Mango...

Mwenyekiti wetu pale Gymkhana club sio teja ila ni umri unasogea mbele wakati ukuta
 
Sky Eclat na yule fideline Iranga siku hizi nae kapotelea wapi? niliwahi kukutana nae JKIA akiunganisha ndege ya London, ukikaa nae unaweza cheka mpaka kesho
 
au ni mja mzito?
.
tapatalk_1565525827021.jpeg
 
Mapenzi yetu yalianza tangu utotoo
Tulichezea vitu na sasa tuna wajukuu - Shoga,Fina Mango.
 
anamiliki football academy inaitwa bulls Football academy,pia ana mtoto wake wa KIUME anakipiga under 13... beauty with brain
 
Back
Top Bottom