Yuko wapi Fina Mango...

Alikuwa vizuri upstairs. The quality that I admire most kwa mwanamke.
yeah,dizain kama salama,natafuta sana wanawake wa dizaini ile,salam hakukaa tu anga zangu ningemuweka ndani..na hivi mi gangsta
 
Mwenyekiti wetu pale Gymkhana club sio teja ila ni umri unasogea mbele wakati ukuta
 
Ni Bibi Ya Band 😄😅😃😂😁😀
 
Sky Eclat na yule fideline Iranga siku hizi nae kapotelea wapi? niliwahi kukutana nae JKIA akiunganisha ndege ya London, ukikaa nae unaweza cheka mpaka kesho
 
Mapenzi yetu yalianza tangu utotoo
Tulichezea vitu na sasa tuna wajukuu - Shoga,Fina Mango.
 
anamiliki football academy inaitwa bulls Football academy,pia ana mtoto wake wa KIUME anakipiga under 13... beauty with brain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…