Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kujifunza nini kupitia kwake?Alisifika kwa burudani ya nyimbo za injili, akazinguana mumewe na kutengana naye! Akapata mpendwa mpya naamini ametulizwa kutokana na ukimya unaojitokeza.
Majirani tupeni abc zake maana si vibaya kujifunza kupitia kioo hiki cha jamii
Mwanamke mwenye hekima ujenga nyumba yake ,bali mpumbavu hubomoa kwa mikono yake mwenyeweNao unasema ...........
Kila mwanamke mwenye hekima hujenga nyumba yake bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyeweNao unasema ...........
Kumbuka flora alikuwa na kashfa ya kuisaliti ndoa yake huku kiongozi wake wa kiroho akihusishwa!Msela kamtuliza anajua kazi yake, mbasha alikuwa bado mtoto utaendaje kuchezacheza na mkeo mbele ya kamera na mkarudi nyumbani akuheshimu, angefanya hata garage
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine hatuna access ya Bible mkuu. Hebu maliza kila kitu hapaMethali 14:1
Mwanamke mwenye hekima ujenga nyumba yake ,bali mpumbavu hubomoa kwa mikono yake mwenyewe