chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Jan 17, 2023 #1 Fresh jumbe siku hizi yuko wapi au katokomea huko Japan. Huyu jamaa na mfanisha na mtoto wa dandu mziki wao wanavofanya wakichanganya mambele na nyumbani. Mwenye kujua huyu fresh jumbe
Fresh jumbe siku hizi yuko wapi au katokomea huko Japan. Huyu jamaa na mfanisha na mtoto wa dandu mziki wao wanavofanya wakichanganya mambele na nyumbani. Mwenye kujua huyu fresh jumbe
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 28,259 Reaction score 41,416 Jan 17, 2023 #2 chizcom said: Fresh jumbe siku hizi yuko wapi au katokomea huko Japan. Huyu jamaa na mfanisha na mtoto wa dandu mziki wao wanavofanya wakichanganya mambele na nyumbani. Mwenye kujua huyu fresh jumbe Click to expand... Muulize RayC
chizcom said: Fresh jumbe siku hizi yuko wapi au katokomea huko Japan. Huyu jamaa na mfanisha na mtoto wa dandu mziki wao wanavofanya wakichanganya mambele na nyumbani. Mwenye kujua huyu fresh jumbe Click to expand... Muulize RayC
smaki JF-Expert Member Joined Jan 23, 2019 Posts 4,976 Reaction score 3,098 Jan 17, 2023 #3 chizcom said: Fresh jumbe siku hizi yuko wapi au katokomea huko Japan. Huyu jamaa na mfanisha na mtoto wa dandu mziki wao wanavofanya wakichanganya mambele na nyumbani. Mwenye kujua huyu fresh jumbe Click to expand... Yuko hapa, mitaa ya ''kyoshi jua paka!.....amekwisha kwa kweli!! muziki bila kipaji ni kazi! alianzaga kitambo sana nikiwa kadogooo!
chizcom said: Fresh jumbe siku hizi yuko wapi au katokomea huko Japan. Huyu jamaa na mfanisha na mtoto wa dandu mziki wao wanavofanya wakichanganya mambele na nyumbani. Mwenye kujua huyu fresh jumbe Click to expand... Yuko hapa, mitaa ya ''kyoshi jua paka!.....amekwisha kwa kweli!! muziki bila kipaji ni kazi! alianzaga kitambo sana nikiwa kadogooo!
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,308 Reaction score 32,757 Jan 17, 2023 #4 Ngoja waje