Yuko wapi fresh jumbe?

Yuko wapi fresh jumbe?

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Fresh jumbe siku hizi yuko wapi au katokomea huko Japan.

Huyu jamaa na mfanisha na mtoto wa dandu mziki wao wanavofanya wakichanganya mambele na nyumbani.

Mwenye kujua huyu fresh jumbe
 
Muulize RayC
 
Yuko hapa, mitaa ya ''kyoshi jua paka!.....amekwisha kwa kweli!! muziki bila kipaji ni kazi! alianzaga kitambo sana nikiwa kadogooo!
 
Back
Top Bottom