Yuko wapi Gentamycine humu JF?

Yuko wapi Gentamycine humu JF?

malkiamrembo

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
386
Reaction score
231
Wakuu pole na majukumu, namuuliza huyu jamaa alikuwa anaandika logic sana humu jf anatumia ID ya GENTAMYCINE naona kimya na sio kawaida yake.
 
Hahhaha yuuupo hata juzi tu alikua analalama wamemshindisha na taulo na mswaki akisubiri habari za mtu kutumbuliwa kutoka kwa mkurugenzi wa habari
 
leo umekuja na nyingine, hivi mnapataga faida gani??
 
Back
Top Bottom