Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu ampige fitna mzee f.bayiImebidi niulize hapa jukwaani maana katibu mkuu wa chama cha riadha tanzania hasikiki kitambo sasa.
Alishaondoka RT zaidi ya mwezi sasa na aliaga kwa heshima zote. Anajielewa sio king'ang'anizi wa madaraka.Imebidi niulize hapa jukwaani maana katibu mkuu wa chama cha riadha tanzania hasikiki kitambo sasa.
Mrija wa pesa kutoka olimpiki alizokuwa anazipiga sasa hivi umekatwa.Nini kikamkuta Bayi kutokana na fitna za Gidabuday?
Bayi alileta medali ya fedha, sikuhizi ana shule Kimara.Mrija wa pesa kutoka olimpiki alizokuwa anazipiga sasa hivi umekatwa.
Fuatilia threads zilizohusu mnyukano wao miaka ya nyuma kidogo
Ofcoz shule anayo ndioBayi alileta medali ya fedha, sikuhizi ana shule Kimara.
Alishajiuzuru miezi kama 2 sasa iliyopita baada ya kuona wanamhujumu na kumkwamisha makusudiImebidi niulize hapa jukwaani maana katibu mkuu wa chama cha riadha tanzania hasikiki kitambo sasa.
Sasa ameikimbiaje nafasi aliyoiomba na kupigiwa kura?Mrija wa pesa kutoka olimpiki alizokuwa anazipiga sasa hivi umekatwa.
Fuatilia threads zilizohusu mnyukano wao miaka ya nyuma kidogo
Kwa maelezo yake alisema BMT walikuwa wanamfanyia figisu kupitia watu wa RT ili afailMkuu Nani alikuwa anamkwamisha Gida!
Bmt huwa hawaingilii shughuli za siku kwa siku za vyama/mashirikisho ya michezo nchini, yeye akiwa katibu mkuu, mtendaji mkuu alikwamishwa nini?Kwa maelezo yake alisema BMT walikuwa wanamfanyia figisu kupitia watu wa RT ili afail
Nikweli,ila kuna vitu ambavyo kama katibu akiandikia BMT kama serikali nilikuwa vinakwama,nitakutafutia clip yake nikuwekee hapa hope utamsikia mwenyewe vizuri mkuuBmt huwa hawaingilii shughuli za siku kwa siku za vyama/mashirikisho ya michezo nchini, yeye akiwa katibu mkuu, mtendaji mkuu alikwamishwa nini?
Au alitarajia kuna kuiba kakutana na wababe!
Jamaa alikuwa anaongea huyo kila siku kwenye vyombo vya habari kupondea viongozi wa riadha ila baada ya kupewa uongozi (mrija wa upigaji) katulia tuliImebidi niulize hapa jukwaani maana katibu mkuu wa chama cha riadha tanzania hasikiki kitambo sasa.
Akina Nyambui walikoma uyo jamaaAlikuwa anasaka fursa