haji ugando sio pro ni mndengereko wa rufijiHivi huyo jamaa si ni proo?
sasa mbona Simba inao maproo nane kama bado yupo msimbazi?
kumbuka maproo simba ni wafuatao:
Angban, Juuko, Mwanjali, Bokungu, Ndusha, Mavugo, Blagnon
Sasa akiongezeka na HIJJA UGANDO (sio Hajji) si watazidi idadi ya maproo saba?
au mm ndo sielewi uraia wake?
mkuu Sembo hebu kuja pande hizi utufafanulie ikiwepo alipo huyo dogo