Yuko wapi Hajji Ugando

Yuko wapi Hajji Ugando

nyamva

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
244
Reaction score
155
Kuelekea mechi ya azam na simba sc nimejikuta nikimkumbuka huyu dogo .
Kifupi dogo anaujua kuuchezea na si kuupiga.
Mwenye kujua aliko atujuze.

Natamani kesho angekuwemo ili ajitangaze zaidi Kwa kutumia mechi hiyo kubwa
 
Umuweke huyu dogo dhidi ya Kapombe, unatafuta nini? Ushindi au Sare?
 
Hivi huyo jamaa si ni proo?

sasa mbona Simba inao maproo nane kama bado yupo msimbazi?
kumbuka maproo simba ni wafuatao:

Angban, Juuko, Mwanjali, Bokungu, Ndusha, Mavugo, Blagnon

Sasa akiongezeka na HIJJA UGANDO (sio Hajji) si watazidi idadi ya maproo saba?

au mm ndo sielewi uraia wake?

mkuu Sembo hebu kuja pande hizi utufafanulie ikiwepo alipo huyo dogo
 
haji ugando sio pro ni mndengereko wa rufiji
 
Back
Top Bottom