Yuko wapi huyu rafiki yetu?

Yuko wapi huyu rafiki yetu?

ha ha ha
kweli mkuu, ni mtu ambaye ulikua humalizi siku bila kukutana naye humu.

Ghafla katoweka aisee
na mm hujaniimiss kwa thread zangu za kufundwa watu mjengoni hapa au umemimiss huyo mkuu @Mazbzab
 
mzuri tuu mzima wee mrembo? vipi baridi la arusha?
unatafutwwa kumbe upo kilichokufanya ukae miaka yote hiyo bila kuingia humu mmu watu tumekumiss ile mbaya kwanini mkuu

halafu nakufananisha ujue wewe sijui kwanini
 
unatafutwwa kumbe upo kilichokufanya ukae miaka yote hiyo bila kuingia humu mmu watu tumekumiss ile mbaya kwanini mkuu

Haha duniani tumeumbwa wawili wawili so unaweza kuwa jmeona jamaa mwengine mzee wa kugegeda

halafu nakufananisha ujue wewe sijui kwanini
 
Hagaga mzee wa kugegeda kweli nilipotea bwana..mie mzima jamani sema unajua tena enzi zile nilikuwa jobl3ss kona nipo town na magufuli ndio katukaba ata mishe za kusaka pesa zimekuwa ngumu.

Kugegeda bado ni raha jamani...asikudanganye mtu nyie tuendelee kugegedna tuu
Kweli huwezi kuacha asili
 
hahaha yeye alikosea bwana....unatakiwa ugegede mpaka unakufia kwenye papuchi, which honestly i think is the sweetest death ever....sasa dushe kuvunjika kwenye papuchi mbona hatari. aweke pop tuu alafu baada ya mwezi aendelee na kugegeda
Nilimis comment Kama hizi kwa muda mrefu Sana.
 
Nilimis comment Kama hizi kwa muda mrefu Sana.

hahaha comment za kugegedana....kumbe mwanisema napenda kugegdana wakati sio mie tuu ata nyie hahaha
mzima lakini black beauty?
 
hahaha comment za kugegedana....kumbe mwanisema napenda kugegdana wakati sio mie tuu ata nyie hahaha
mzima lakini black beauty?
Mie mzima... Nilimis kutabasamu pale naposoma comments zako maana hakuna kukasirika.
 
Niko poa Mkuu huwa napita pita humu mara moja moja, JF ya 2016 si ile ya miaka ya nyuma.

Yap ni kweli mkuu kama BAK haonekani kabisa humu, na hata Mchambuzi siku hizi thread zake zimepungua sana, juzi namuona keshaingia kwenye ujasiriamali.

Jukwaa limepoa sana yani.
 
Back
Top Bottom