Chifu Songea
Member
- Sep 9, 2024
- 30
- 46
Wanawake hampendaniKaribuni sana wadau tuweze kujuzana na kufahamishana waliko watu hawa. Pengine waliwahi kuvuma na kuwa watu maarufu katika jamii yetu, ila Kwa sasa hawasikiki tena, na hata kutofahamika wako wapi. Kwa mwenye kujua taarifa zao tuje hapa tujuzane. Mimi naanza na mwanadada wa enzi hizo Stara Thomas. Je, yuko wapi siku hizi?
Sijui.Karibuni sana wadau tuweze kujuzana na kufahamishana waliko watu hawa. Pengine waliwahi kuvuma na kuwa watu maarufu katika jamii yetu, ila Kwa sasa hawasikiki tena, na hata kutofahamika wako wapi. Kwa mwenye kujua taarifa zao tuje hapa tujuzane. Mimi naanza na mwanadada wa enzi hizo Stara Thomas. Je, yuko wapi siku hizi?
ChaiSijui.
Pesa zimekata.....sponsors hakunaKwani Jacklin Mengi, Faraja Nyalandu, na Vicky kamata wako wapi Siku hz?
Alikuwa na umashuhuru ganiMimi naanza na mwanadada wa enzi hizo Stara Thomas. Je, yuko wapi siku hizi?
Daah wamepotea ina maana jack hakupata asilimia kadhaa kwenye kesi japo hakuonekna mshindi?Pesa zimekata.....sponsors hakuna
Wapi huko?kwake